
Bet Sure Tanzania
June 20, 2025 at 12:10 PM
BOOOOOOOOOOOM boooooom ✅✅✅✅✅✅✅✅Baada ya kushinda tiketi moja jana — sio vibaya tukachanganya ushindi wa nje na wa ndani.
Leo tuendelee na Sehemu ya 5 ya kitabu cha Kazi ya Kivuli Ndani ya Mwili
*Katika sehemu hii Tunazidi kuangaza yale maeneo ya ndani yaliyojificha kwenye mwili na nafsi.
Tunajifunza jinsi ya kuachilia maumivu ya zamani na kuruhusu nguvu mpya ya utulivu na mafanikio
*Ni sehemu inayokufundisha kujipenda, kujisamehe, na kujiwekea mipaka yenye heshima*
🙏
1