
Bet Sure Tanzania
June 21, 2025 at 02:28 PM
Historia ya Kitabu Kazi ya Kivuli (Shadow Work
Kitabu hiki kinaitwa Your Own Shadow: Understanding the Dark Side of the Psyche”, kilichoandikwa na Robert A. Johnson, ambaye alikuwa mwanasaikolojia mashuhuri wa Marekani na mfuasi wa shule ya fikra za Carl Jung Jungian psychology
📘 Mwandishi: Robert A. Johnson
📅 Mwaka wa Kuchapishwa: 1991
Maudhui Kitabu hiki kinazungumzia umuhimu wa kumiliki na kuelewa kivuli chetu yaani upande wa ndani wa nafsi yetu unaojumuisha tabia, hisia, na matamanio tuliyoyakataa au kuyaficha. Johnson anaeleza kuwa kwa kuyakubali na kuyachunguza, tunaweza kupata uponyaji wa ndani, ukuaji wa kiroho, na mahusiano bora.
Mimi nimejalibu kuwaletea kwa rugha lahisi ya Kiswahili ila chenyewe og ni English
