BashBuzz
BashBuzz
June 19, 2025 at 09:02 AM
*LAMU* Imebainika kuwa dawa za kuavya mimba zimekuwa zikiuzwa kwenye maduka ya dawa ( CHEMISTS) katika Kisiwa cha Amu kaunti ya Lamu na kisha kuuziwa wasichana wenye umri mdogo ili kwenda kuavya mimba. Hali hiyo imetajwa kupelekea wasichana wengi kupoteza maisha yao, seneta mteule Shakila Abdalla akitoa onyo kali kwa wenye maduka ya dawa kukoma kuwauzia wasichana dawa za kuavya mimba.
Image from BashBuzz: *LAMU* Imebainika kuwa dawa za kuavya mimba zimekuwa zikiuzwa kwenye m...

Comments