
BashBuzz
June 20, 2025 at 02:59 AM
*MACHELE AVISHWA KOJA- wa 7 bora nchini, Wa pili bora ukanda wa Pwani*
Mbunge wa Mvita, Mohamed Soud Machele, ametajwa miongoni mwa Wabunge 15 bora nchini kwa kuibuka 7 bora zaidi nchini, na wa pili bora katika ukanda wa Pwani, nyuma ya Mbunge wa Taveta, kulingana na ripoti ya utafiti uliofanywa na shirika la KenyaTrak.
Katika tathmini hiyo, vigezo vilivyotumika ni namna wabunge walivyotumia fedha za NG-CDF kwa ufanisi, ikiwemo:
✅ Utekelezaji wa miradi
✅ Athari kwa jamii
✅ Uwazi na uwajibikaji
