BashBuzz
BashBuzz
June 20, 2025 at 08:00 AM
Kaunti ya Kwale imezindua bajeti inayopendekezwa ya shilingi bilioni 10.6 ya mwaka wa kifedha wa 2025/26 huku wakaazi wakizipa kipaumbele huduma za afya, barabara na maji. Bajeti hiyo imepunguzwa kutoka shilingi bilioni 12 ya mwaka jana kutokana na matatizo ya kifedha huku kaunti ikizindua mchakato wa kukusanya maoni ya wakaazi kutoka wadi zote 20.
Image from BashBuzz: Kaunti ya Kwale imezindua bajeti inayopendekezwa ya shilingi bilioni 1...

Comments