BashBuzz
BashBuzz
June 20, 2025 at 11:44 AM
*KWALE NAMBA WANI* Kaunti ya Kwale imeibuka bora kati ya Kaunti 47 nchini kote katika ripoti iliyotolewa hivi majuzi kuhusu Utafiti wa Uwazi wa Bajeti ya Kaunti ya 2024 (CBTS) iliyoendeshwa na Bajeti Hub. Gavana Achani ametaja ufanisi huo kutokana na juhudi za kaunti hiyo kuhusisha wakaazi katika michakato ya kupanga bajeti na utekelezaji.
Image from BashBuzz: *KWALE NAMBA WANI*  Kaunti ya Kwale imeibuka bora kati ya Kaunti 47 nc...

Comments