BashBuzz
BashBuzz
June 20, 2025 at 02:19 PM
Baadhi ya vijana waliokuwa wamejisajili kwa mpango wa “Kazi Majuu” mjini Malindi wamekataa kuendelea nao, wakilalamikia masharti magumu kwenye mkataba wa kazi ya kuendesha pikipiki kutoka kwa kampuni moja ya mjini Dubai.
Image from BashBuzz: Baadhi ya vijana waliokuwa wamejisajili kwa mpango wa “Kazi Majuu” mji...
😂 2

Comments