
BashBuzz
June 20, 2025 at 06:04 PM
Serikali ya kaunti ya Kwale imethibitisha kuchimba zaidi ya visima 40 na mabwawa ya maji 40 pamoja na usambazaji wa maji katika umbali wa kilomita 570.
