BashBuzz
BashBuzz
June 21, 2025 at 05:03 AM
*KERO LA TAKATAKA KONGOWEA SOKONI* Wafanyabiashara katika soko la Kongowea, Mombasa, wameelezea hofu ya kukumbwa na maradhi kama kipindupindu, kutokana na mrundiko wa taka licha yao kulipa ushuru kwa usimamizi wa soko kila siku, kuondoa taka hizo.
Image from BashBuzz: *KERO LA TAKATAKA KONGOWEA SOKONI* Wafanyabiashara katika soko la Kong...

Comments