BashBuzz
BashBuzz
June 21, 2025 at 10:17 AM
*UVUNDO MJI WA KALE, MOMBASA* Wakaazi na wafanyabiashara wa Old Town, Mombasa, wamelalamikia kutapakaa kwa maji taka na uchafu mitaani, wakitaka kaunti ichukue hatua wakihofia mkurupuko wa maradhi ya kipindupindu na chikungunya.
Image from BashBuzz: *UVUNDO MJI WA KALE, MOMBASA* Wakaazi na wafanyabiashara wa Old Town, ...

Comments