
BashBuzz
June 21, 2025 at 12:17 PM
Duru za kuaminika imearifu meza ya habari ya *_BashBuzz_* ya kuwa, mbunge wa Nyali, Mohamed Ali 'Jicho Pevu' sasa hivi anakutana na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka Nairobi.
Mohamed Jicho Pevu anapania kuwania wadhifa wa ugavana wa kaunti ya Mombasa akitarajiwa kuvaana na Gavana Abdulswamad Shariff Nassir.
*BashBuzz: First, Fast, Facts*

💩
😂
2