BashBuzz
BashBuzz
June 21, 2025 at 05:42 PM
*USTADH OMAR WA MALINDI ATUHUMIWA KWA KUTAPELI WENGI KWA AHADI YA KUWAPELEKA HAJJ* Ustadh Omar Athman, Imam wa Masjid Ihsan Central, Malindi, anadaiwa kutapeli wengi baada ya kuwaahidi kuwasafirisha kuwapeleka Hajj 📹 | Citizen TV
😢 😮 3

Comments