
BashBuzz
June 21, 2025 at 06:21 PM
*KAUNTI YA LAMU*
Serikali ya kaunti ya Lamu imetenga takriban shilling million 75 pesa za basary kwa wanafunzi wa Lamu wanaotoka familia zisizojiweza.
