BashBuzz
BashBuzz
June 21, 2025 at 06:42 PM
Muungano wa kutetea maslahi ya walimu wa shule za upili nchini KUPPET umetoa makataa ya siku 7 kwa muajiri wao TSC kushughulikia matakwa yao la sivyo wasitishe shughuli za masomo kote nchini.
Image from BashBuzz: Muungano wa kutetea maslahi ya walimu wa shule za upili nchini KUPPET ...

Comments