
BashBuzz
June 21, 2025 at 08:17 PM
🌀 *BASHBUZZ | MAKALA MAALUM – ITAKAYOCHAPISHWA KESHO* 🌀
Akiwa na umri wa miaka 30, *_Ahmed Omar Hamid, almaarufu Medo,_* ndiye MCA (Nominated) mchanga zaidi katika Bunge la Kaunti ya Lamu kwa sasa—na jina lake linaendelea kutikisa ndani ya Lamu na Pwani kwa jumla
Kutoka kwa mwanaharakati wa haki za jamii hadi kuwa kiongozi anayeibuka kwa kasi, Medo ni mfano halisi wa kizazi kipya cha viongozi wanaoamini katika usawa, maendeleo na ushirikishwaji wa vijana. *_BashBuzz_* itachapisha kwa kina safari yake ya kisiasa, mafanikio, changamoto na matarajio makubwa anayoibeba kwa Lamu West.
Usikose makala hii kesho kwenye mitandao yetu yote!
*_🌍 BashBuzz – First, Fast & Facts._*
