BashBuzz
BashBuzz
June 22, 2025 at 04:33 AM
Meza ya habari ya *_BashBuzz_* imepokea taarifa kuwa Amin Muhamad Muumin, anayefahamika kwa jina la DJ Amin au Mutu 7, ametangaza azma yake ya kuwania kiti cha Mwakilishi wa Wadi ya Malindi Mjini (MCA— Malindi Town Ward) ifikapo mwaka 2027. Kwa mujibu wa mdokezi wa karibu naye ambaye aliomba asitajwe jina, DJ Amin analenga kuwania kupitia tiketi ya chama cha ODM, ambapo anatarajia kupambana na mwakilishi wa sasa Rashid Odhiambo katika mchujo wa chama hicho. *BashBuzz: First, Fast, Facts*
Image from BashBuzz: Meza ya habari ya *_BashBuzz_* imepokea taarifa kuwa Amin Muhamad Muum...
👍 1

Comments