BashBuzz
BashBuzz
June 22, 2025 at 04:57 AM
Vinu vya nyuklia vya Fordo, Natanz na Isfahan vya Iran vimeshambuliwa katika kipindi ambacho Rais Trump akionya kwamba Marekani "itafanya juhudi za kuvilenga zaidi" ikiwa serikali ya Tehran haitafanikisha upatikanaji wa amani.
Image from BashBuzz: Vinu vya nyuklia vya Fordo, Natanz na Isfahan vya Iran vimeshambuliwa ...

Comments