
BashBuzz
June 22, 2025 at 11:54 AM
Seneta wa Lamu, Shakila Abdalla, ameonya vijana Kisiwani Amu dhidi ya matumizi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume wanazonunua kiholela madukani.
Seneta huyo amesema matumizi ya dawa hizo si salama kiafya na kwamba yanaweza kusababisha madhara ya muda mrefu
