BashBuzz
BashBuzz
June 22, 2025 at 12:03 PM
Waziri Hassan Joho na Salim Mvurya wamewahimiza viongozi wa Pwani kuacha tofauti za kisiasa na kuungana kwa lengo la kushinikiza maendeleo ya ukanda wa Pwani. Wawili hao walisema muungano wa viongozi utasaidia kupaza sauti ya Pwani kitaifa na kupata mgao wa haki wa maendeleo. Walizungumza haya katika mazishi ya John Karisa Maitha, mtoto wa aliyekuwa 'mugogo' wa Pwani na mbunge wa Kisauni, marehemu Karisa Maitha
Image from BashBuzz: Waziri Hassan Joho na Salim Mvurya wamewahimiza viongozi wa Pwani kuac...

Comments