
BashBuzz
June 22, 2025 at 12:45 PM
Chama cha Pamoja African Alliance (PAA) kimewataka wanachama wake katika bunge la kaunti ya Kilifi kufika katika mkutano wa majadiliano hapo kesho katika makao makuu ya chama hicho Mombasa.
