
ONLINE HD MOVIE NA MIENDELEZO
June 21, 2025 at 09:39 PM
📽️ KPOP: DEMON HUNTERS (2025)
🎞️ Animation | English | HD
🗓️ Iliotoka: 20 June 2025
🧨 Maudhui:
Wamezoeleka kama wasanii wa Kpop, lakini nyuma ya pazia — ni wapiganaji wa kisasa dhidi ya majini wanaoivamia dunia!
🎤⚔️ Wakali, wa kisasa na wanaochaji kwa muziki! Umejaa vituko, vichekesho na action ya kisasa kwa kiwango cha hali ya juu!
📥 Ni mpya kabisa! Tuma jina “KPOP” upate sasa hivi!
