
Samawati Safari
June 21, 2025 at 08:14 AM
Leo Nimekusogezea Historia ya Mgogoro kati ya ππ¦π₯πππ na π£ππππ¦π§ππ‘π. π§΅
Mwaka 1948 ulikuwa ni Mwaka wa Mabadiliko Makubwa katika Historia ya Mashariki ya Kati, hasa kwa mataifa ya Israel na Palestina.
Mwaka huo, taifa la Israel lilitangaza rasmi uhuru wake kufuatia Mwisho wa utawala wa Uingereza katika eneo lililojulikana kama Palestina.
THREAD π§΅π§΅ β¬οΈ
