Samawati Safari
Samawati Safari
June 21, 2025 at 08:41 PM
Nyama za kichawi – Siri ya Kijana Aliyekula watoto Bila Kujua. 🥤Mwaka 1984, katika kijiji kimoja kilichopo Mbeya Vijijini, aliishi kijana mmoja, aliyefiwa na wazazi wake wakiwa mdogo. Alichukuliwa kulelewa na bibi yake, aliyefahamika kijijini kama Bibi Nshubali. 🥤Bibi Nshubali alikuwa mnyenyekevu na mwenye ujuzi mkubwa wa dawa za mitishamba. Watu walimwona kama mponyaji, lakini nyuma ya pazia, kulikuwa na siri nzito ambayo yule kijana alianza kuigundua akiwa na umri wa miaka 14. 🥤Bibi yake alikuwa hapiki chakula cha kawaida  mara nyingi walikula nyama ya kukaanga usiku, waliokuwa hawagawi kwa jirani . Kijana yule hakujua ile nyama inatoka wapi na ilikuwa ni nyama ya mnyama gani. 🥤Kijana yule aliambiwa kuwa ni nyama ya mwanyama wa porini .Lakini kila alipojaribu kuuliza zaidi, bibi yake alimtazama kwa macho makali, akimwambia, “Utaumia ukijua mengi.” Fungua uzi hadi mwisho....... 🧵👇
Image from Samawati Safari: Nyama za kichawi – Siri ya Kijana Aliyekula watoto Bila Kujua.  🥤Mwak...
👍 1

Comments