
Samawati Safari
June 21, 2025 at 08:41 PM
🥤Siku moja, kijana yule aliona mfuko ukifichwa chini ya godoro. Alipoufungua, aliona vidole vya binadamu. Alirudi nyuma kwa mshtuko. Usiku huo, alishindwa kulala. Bibi yake alimuambia kwa upole, “Kuna mambo ya dunia hutakiwi kujua mpaka uwe tayari.”
🥤Baada ya siku kadhaa, wanakijiji walianza kuongea kuhusu watu waliopotea katika mazingira ya kutatanisha. Watoto wawili wa darasa la nne walitoweka wakitoka shuleni
🥤Kijana alianza kufuatilia mienendo ya bibi yake.
Usiku mmoja, alimfuata kwa mbali. Alimuona akikutana na wanaume wanne na wanawake kama kumi wamevalia nguo za ajabu wamejipata rangi nyeusi na nyeupe usoni walikuwa chini kwenye uwanja wa shule ya msingi wakicheza wakizunguka kitu fulani pale chini.
🥤Baada ya muda wakaanza kukata kitu kama nyama, kisha wakaanza kupika, nyingine wakichoma. Kijana alioogopa sana, alianza kurudi nyuma talatibu na kukimbia kurudi nyumbani, cha ajabu alimkuta bibi yake pale nyumbani akiwa amekaa nje anakimsubil arudi.
🥤Yule kijana hakusema kitu aliingia ndani, akiwa

🍎
👍
2