Samawati Safari
Samawati Safari
June 22, 2025 at 11:28 AM
Mwamba alivamia benki na kuondoka na kitita cha USD Million 18.9 bila Ya walinzi wala kamera Kumuona Kisha akatokomea kusikojulikana na kuwaacha FBI wakiumiza vichwa kwa miaka Mitatu bila Mafanikio Mwaba akaja kuchomeshwa na uzembe wa rafiki Yake. — THREAD 🧵🧵 ⬇️
Image from Samawati Safari: Mwamba alivamia benki na kuondoka na kitita cha USD Million 18.9 bila ...

Comments