
Samawati Safari
June 22, 2025 at 11:28 AM
September 12 mwaka 1997 majira ya saa 3 usiku watu sita walivamia benk iliyofahamika kwa jina la Dunbar iliyopo marekan Los Angeles
Na kufanikiwa kuondoka na kitita cha Usd million 18.9 bila ya kuacha ushahid wowote
Hakika ni akili kubwa sna ilitumikana.
Huwez amini ni akili ya mtu mmoja tu ndo iliyotumika kuchora mchoro wa tukio zima na mtu huyo aliitwa Allen pace III
Uku akishirikian na wenzake watano ila yeye ndo alikuwa mastermind wa mchongo wote
Allen pace yeye alikuwa akifanya kaz Dunbar kama mfanyakaz wa kawaida tu
Na alikuwa akilipwa mshahara wa kawaida ambao uliweza kumpatia mahitaji yake ya kila siku
Alifanya kazi kwa mda mrefu mpaka kampun ikamuamin na kuamua kumpandisha cheo
Na kuwa mkaguzi mkuu wa usalama katika jiji la Carfolnia kuhakikisha pesa zote zinasafirishwa kwa usalama
