
Samawati Safari
June 22, 2025 at 11:29 AM
Kwenye jengo hilo kulikuwa na kamera zinazomulika kila kona ya jengo pia limefungwa alarm ambayo itapiga kama kuna mtu ambaye hausik atawez kuingia ndan
Na kuna askal waliotapakaa kwenye jengo zima
Allen kwanza akaamua kuusoma mfumo mzima wa jengo hilo na hii haikumpa shida Kwenda sehemu yeyote ya jengo hilo kutokan na cheo alichokuwa nacho
Mwamba alitumia miezi minne kuweza kukamilisha uchunguzi wake na kuweza kutambua vyema mfumo wa jengo hilo
Baada ya uchunguzi sasa akajua aanzie wapi kuchora mchoro wake wa ujambazi
