
Samawati Safari
June 22, 2025 at 11:29 AM
kitu chakwanza alichoanza nacho ni kuusoma mfumo wa kamera za jengo hilo
Na hii haikumpa shda kwani aliweza kuzipiga picha kamera zote na nyingine kuzichukua video kabisa ili aweze kuzisoma mijongeo yake
Katika kuzisoma kamera aligundua changamoto kubwa ipo kwenye kamera za nje
Kwa jinsi zilivyokaa ilikuwa ni ngumu san kuzikwepa kwan nje ya jengo hilo kulikuwa na uwanja mkubwa
Ambapo ni lazima kamera zikunase pindi tu utakapotokeza ila mwamba akasema atajua jinsi ya kuzikwepa
Chapil alichozingatia ni jinsi ya kuwakwepa walinzi waliokuwa wamejaa kila mahali
