
Samawati Safari
June 22, 2025 at 11:30 AM
Kitu Cha tatu alihitaji kujua sehemu ya siri inayohifadhi kifaa cha kumbukumbu za video za kamera
Apo sasa ikabidi atumie mbinu ya kumtongoza mfanyakazi aliekuwa kwenye chumba cha kamera
Ili aweze kujua ni wapi kinapokaa kifaa hicho na alitaka kuiba siri hii bila ya mwenyewe kujua
Kitu Channe hiki ndicho kilimuumizi sana kichwa Mastermind kwani safe ya kuwekea hela ilikuwa na password
Na anayeijua ni boss tu na mda wa kufanya tukio boss Hatokuwepo.
Kitu Cha tano ni kwamba story hii itaendelea show love kwa kufollow na kureact ili part (2) isikupite. 🧵🤝

👍
👊
3