
AGA KHAN HEALTH SERVICE, TANZANIA
May 23, 2025 at 03:23 PM
Utambuzi wa mapema ni bora zaidi kwa afya yako! 🩷
Mammogram husaidia kugundua saratani ya matiti mapema.
🎀 Pima leo kwa maisha yenye afya kesho.
📍 Tembelea Hospitali ya Aga Khan, Mwanza
📞 Wasiliana nasi kupitia +255 686 364 540