
AGA KHAN HEALTH SERVICE, TANZANIA
May 24, 2025 at 11:06 AM
Tupo Tayari kwa Huduma za Dharura. Masaa 24
🚑 Huduma ya Haraka, Wakati Wowote
🏥 Msaada wa Afya wa Kitaalamu
👩⚕️ Timu ya Wataalamu wa Dharura
Afya yako ni kipaumbele chetu — usiku na mchana!
📍 Tembelea Hospitali ya Aga Khan, Mwanza
📞 Wasiliana nasi kupitia +255 686 364 540
