
AGA KHAN HEALTH SERVICE, TANZANIA
June 2, 2025 at 06:54 AM
Dkt. Christopher Mwansasu, Daktari Bingwa wa Upasuaji Maskio, Pua na Koo atakuwepo katika Kituo cha Afya cha Aga Khan, Kahama Tarehe 6 na 7 Juni 2025 . Kwa uchunguzi wa magonjwa ya pua, masikio na koo karibu kuweka miadi sasa kupitia 0788 234 498.
