
Niajiri Platform
218.5K subscribers
Verified ChannelAbout Niajiri Platform
Unlocking income opportunities for talent through skilling. Join our employability platform now and increase your chances at the marketplace.
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

*Habari!* CV Clinic workshop online session imeshanza rasmi saa nne na nusu *(10:30AM)* hivyo basi kushiriki ukiwa online bonyeza *Google Meet link hapo chini*๐ https://meet.google.com/jmo-gvxm-kpb *Usipange kupitwa na hii ili kupokea feedback ya Moja kwa Moja kuhusu CV yako.*


*Haya leo tuongee kuhusu Waajiri*๐ Ni changamoto gani ulishawahi kutana nayo kwa muajiri wako mpaka ukatamani kuacha kazi au ukasema navumilia tu kwa Sina kazi๐คทโโ๏ธ *Tuambie hapa*๐ https://ngl.link/niajiriplatform

*Ungana na Niajiri Platform Instagram live kwenye mafunzo ya CV* ๐ https://www.instagram.com/teditanzania/live/18050095550180708?igsh=MnhrZmZ2MGFoN3R5

We are looking for a *Business Development Advisor* to play a key role in executing our programs by providing tailored business advisory services, coaching, and training to entrepreneurs. *Apply now at:*๐ https://www.niajiri.co.tz/job-position/3a6ceeee-8f25-4551-8c73-6324811ba7e6


*Kuanzia tarehe 01 Machi 2025 tunaanza rasmi CV Clinic Workshop, itakayodumu kwa ndani ya mwezi mmoja.* Hivyo basi kama unafahamu CV yako haiko na viwango bora pamoja na maudhui yanayoitajika basi usipange kukosa hii *Unachotakiwa kufanya ili kushiriki ni kujiuga ndani ya mfumo wa Niajiri na kujisajili kushiriki katika CV clinic.*๐ *www.niajiri.co.tz*


*Chukua hii pointi itakusaidia mbeleni* โ๏ธ


*Week ya kwanza ya program imeshaanza kama hujashiriki session ya leo fahamu ya kuwa umepitwa na mambo mengi*๐คทโโ๏ธ

*Niajiri Joins the Think Like an Investor program* ๐ผ๐น๐ฟ

Jamaa anahisi Game haiko fair kabisa *Vipi ni hivi* ๐ *Au hivi* ๐

*Kusoma experience za watu tofauti tofauti click link hapo chini*๐ https://www.instagram.com/share/p/BABWIYsMIF