
Niajiri Platform
February 26, 2025 at 05:40 PM
*Kuanzia tarehe 01 Machi 2025 tunaanza rasmi CV Clinic Workshop, itakayodumu kwa ndani ya mwezi mmoja.*
Hivyo basi kama unafahamu CV yako haiko na viwango bora pamoja na maudhui yanayoitajika basi usipange kukosa hii
*Unachotakiwa kufanya ili kushiriki ni kujiuga ndani ya mfumo wa Niajiri na kujisajili kushiriki katika CV clinic.*👇
*www.niajiri.co.tz*

👍
❤️
🙏
📌
😂
😍
24