
TheChanzo
36.9K subscribers
Verified ChannelAbout TheChanzo
Habari, karibu kwenye channel yetu. The Chanzo ni chombo cha habari kilichojikita kwenye chambuzi za masuala mbalimbali ya kijamii, kiuchumi na siasa. Hatutoi tu habari, tunaeleza maana nyuma ya habari. Kama utapenda maudhui yetu usisite kukaribisha ndugu jamaa na marafiki. Lakini pia kufuatilia tovuti yetu. Kama una habari tutafute kupitia 0753815105. Maoni, Ripoti na Uchambuzi. Una habari? WhatsApp/Telegram 0753815105
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

*Suala la Wafanyabiashara Kulipa Kodi Kabla ya Kuanza Biashara Latua Bungeni. Serikali Yatolea Majibu* https://youtu.be/X0min0uCg38?si=SbmINgQ9vWVB7RbE

*#LIVE: Kesi ya Lissu Mahakamani Kisutu Leo Juni 16,2025* https://www.youtube.com/live/7r85jkFhlco?si=oH5c2PrAiG8ZpcvX

*Wazazi Wahofia Matumizi ya Pedi Kusababisha Uhuni, Mabinti Watumia Magodoro Kujisitiri.* Dodoma. Wakati jamii, wadau na serikali ikiendelea kutekeleza afua mbalimbali za hedhi salama hapa nchini, baadhi ya wasichana wanaoishi eneo la Ng’hong’hona wamekuwa wakitumia vipande vya magodoro kujisitiri wakati wa hedhi, huku sababu tamaduni na mazoea ya jamii husika yakitajwa zaidi. Utaratibu huu wa kutumia magodoro umekuwa kama sehemu ya utamaduni uliorithishwa kutoka kizazi hadi kizazi, hata hivyo kufuatia kupata elimu, mabinti wengi katika eneo hilo wanatamani kuona hali hii ikibadilika katika jamii. Mwaka 2022, Martha 17, mwanafunzi wa kidato cha nne alipovunja ungo alimfuata mama yake na kumueleza hali halisi. Baada ya kumueleza alielekezwa na mama yake namna ya kutumia magodoro kujisitiri. Soma zaidi https://thechanzo.com/2025/06/13/wazazi-wahofia-matumizi-ya-pedi-kusababisha-uhuni-mabinti-watumia-magodoro-kujisitiri/


*Tundu Lissu Aaamua Kujitetea Mwenyewe, Atoa Hoja Mahakama Yakubali- Aanza Majibizano* https://youtu.be/q2iRw_TX3rs?si=nVbp9LGYRBo6K4aP

*Serikali Yatangaza Mabaraza ya Madiwani Nchini Kuvunjwa Juni 20,2025* https://youtu.be/rn-vql5XKbc?si=LUuv_18V3BESYDRN

*Local Government Councils to Be Dissolved by June 20, 2025* The Minister of State in the President’s Office, Regional Administration and Local Government (PO-RALG), Mohammed Mchengerwa, has announced that all local government councils and their committees must come to an end by June 20, 2025. Minister Mchengerwa stated that he has already issued notices for the dissolution of district and urban local government councils for the year 2025 ahead of the general election. “These notices will soon be published in the Government Gazette, Council and committee meetings must cease seven days before the dissolution of Parliament on June 27, 2025,” said Mchengerwa. Tanzania’s General Election, scheduled for October 2025, will involve the election of the President, Members of Parliament, and Councilors in Mainland. Read more https://thechanzo.com/2025/06/16/local-government-councils-to-be-dissolved-by-june-20-2025/


*Kesi ya Lissu Yapigwa Kalenda Mpaka Julai 01 - Lissu na Mawakili wa Serikali Wajibizana* https://youtu.be/lgSVqnYS9Jg?si=vWEkoGCKp8dczDmW

*Serikali Kuainisha Biashara Zitakazofanywa na Wageni. Wageni Watakaokiuka Masharti Kukiona* https://youtu.be/3A9jtAhr6GY?si=DqSqtgKzodIMR0YO

*The Chanzo Morning Briefing Tanzania News – June 16, 2025:* 🔴New Chief Justice of Tanzania, George Masaju: I Will Continue to Be a Public Servant; 🔴Gwajima’s Church Deregistration Saga Turns into a ‘Herod and Pilate Circus’ with Police in the Middle: Members Call for Freedom of Worship; 🔴Local Government Councils to Be Dissolved by June 20, 2025 Read https://thechanzo.com/2025/06/16/the-chanzo-morning-briefing-tanzania-news-june-16-2025/


*#LIVE: Bunge la Kumi na Mbili,Mkutano wa Kumi na Tisa,Kikao cha Arobaini na Sita* https://www.youtube.com/live/Eknkz5sHpUI?si=BQqIPxHDYwEF7GTA