Internet Point | Faraja WhatsApp Channel

Internet Point | Faraja

71 subscribers

Verified Channel

About Internet Point | Faraja

Powering small businesses & companies with reliable internet Connection | We do provide consultation and survey before Installation 🀩

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

Internet Point | Faraja
Internet Point | Faraja
2/14/2025, 9:32:17 AM

Hii nayo ni huduma nyingine ya kukata na shoka ambayo imezilenga taasisi za serikali pekee Ni wakati muafaka kwa ofisi za umma kuhakikisha zinapata huduma hii ili kurahisisha utendaji kazi Kwa 60k, 80k au 90k ofisi itajipatia Router ya kisasa yenye kasi na ufanisi mkubwa zaidi

Post image
βœ… πŸ“Œ 2
Image
Internet Point | Faraja
Internet Point | Faraja
2/14/2025, 9:32:55 AM

Mtandao wa Airtel nao wakao na wasibaki nyuma wakaja na huduma ya SME Chapakazi Huduma ambayo inakulenga wewe mmiliki wa shirika au kampuni binafsi kukupa uhakika wa Intaneti ofisini, dakika kwa wafanyakazi na SMS Hii huduma ni rafiki mno kuanzia gharama zake na utendaji kazi

Post image
βœ… ❀️ 2
Image
Internet Point | Faraja
Internet Point | Faraja
2/5/2025, 5:46:03 PM

*Miezi saba uhakika βœ….*

Post image
❀️ 2
Image
Internet Point | Faraja
Internet Point | Faraja
2/14/2025, 9:31:30 AM

Hii ndiyo Router ambayo naweza nikakushauri uitumie kwasababu ina kasi na ufanisi mkubwa Ukiwa na hii Router basi utakuwa umesema kwaheri kwa changamoto zote za kimtandao Hapa utaiona tofauti. Inafaa kwa matumizi binafsi, familia na ofisi inatiki zaidi na zaidi

Post image
βœ… πŸ“Œ 2
Image
Internet Point | Faraja
Internet Point | Faraja
2/9/2025, 1:55:02 PM

_Watumiaji wa mtandao wa Vodacom mkombozi huyu hapa πŸ€“._ _Hapa ni mwisho wa matatizo kwa Tsh 240k tu ❗_

Post image
πŸ“Œ 1
Image
Internet Point | Faraja
Internet Point | Faraja
2/5/2025, 5:44:34 PM

_Watumiaji wa mtandao wa Vodacom hii isikupite 🀩._ _Kwa huduma na msaada: +255 762 354 588_

Post image
❀️ βœ… 3
Image
Internet Point | Faraja
Internet Point | Faraja
2/5/2025, 7:15:02 AM
Post image
βœ… ❀️ 2
Image
Internet Point | Faraja
Internet Point | Faraja
2/5/2025, 7:13:01 AM

Umeyasikia haya yanayozungumzwa kuhusu sinza na mitaa yake? Yaani namaanisha viunga vya Sinza Mugabe, Sinza A, Sinza Mori na Vatican Kama kweli hauyajui yanayoendelea huko vuta kiti chako uketi na maji ya baridi mkononi πŸ‘‡ Mtandao wa Yas (Tigo) wapo katika hatua za mwisho za kukamilisha mradi wa Fiber sinza Fiber hii inaenda kuwa mkombozi kwa wafanyabishara upande wa Intaneti Nafikiri unajua kuwa Yas hawana kazi mbovu linapokuja sauala la Intaneti si ndiyo Boss 🀩? Habari njema sasa ni kuwaπŸ‘‡: Yas Fiber (pre-order) 01. Sinza Mugabe - 01 March 02. Sinza A - 15 March 03. Vatican - 15 March 04. Sinza Mori - 01 April Kwa wateja watakaoweka oda mapema watapewa mwezi mmoja bure wakutumia Intaneti kutoka Yas Wateja watakao omba huduma baada ya tarehe tajwa hapo Juu wataendelea na utaratibu wa kawaida wa malipo πŸ“Œ Unaweza kutuma maombi (Pre order) kabla ya huduma kuanza rasmi mwenzi ujao. Kama utatuma maombi leo basi utapata ofa kwa mwezi mmoja bure wa kutumia intaneti. Kwa wateja watakao lipia huduma baada ya mradi kuanza rasmi mwenzi Machi hawatapata ofa hiyo ya mwezi mmoja bure.

❀️ πŸ‘ 2
Internet Point | Faraja
Internet Point | Faraja
2/5/2025, 7:15:02 AM
Post image
βœ… πŸ‘ 2
Image
Internet Point | Faraja
Internet Point | Faraja
2/14/2025, 9:30:34 AM

_Tanzania kuna mitandao mingi ya simu ambayo inatoa huduma za Intaneti kwa wateja wao na leo tutaangalia mitandao yenye huduma imara na madhubuti πŸ“Œ_

Link copied to clipboard!