
Internet Point | Faraja
February 5, 2025 at 07:13 AM
Umeyasikia haya yanayozungumzwa kuhusu sinza na mitaa yake?
Yaani namaanisha viunga vya Sinza Mugabe, Sinza A, Sinza Mori na Vatican
Kama kweli hauyajui yanayoendelea huko vuta kiti chako uketi na maji ya baridi mkononi 👇
Mtandao wa Yas (Tigo) wapo katika hatua za mwisho za kukamilisha mradi wa Fiber sinza
Fiber hii inaenda kuwa mkombozi kwa wafanyabishara upande wa Intaneti
Nafikiri unajua kuwa Yas hawana kazi mbovu linapokuja sauala la Intaneti si ndiyo Boss 🤩?
Habari njema sasa ni kuwa👇:
Yas Fiber (pre-order)
01. Sinza Mugabe - 01 March
02. Sinza A - 15 March
03. Vatican - 15 March
04. Sinza Mori - 01 April
Kwa wateja watakaoweka oda mapema watapewa mwezi mmoja bure wakutumia Intaneti kutoka Yas
Wateja watakao omba huduma baada ya tarehe tajwa hapo
Juu wataendelea na utaratibu wa kawaida wa malipo 📌
Unaweza kutuma maombi (Pre order) kabla ya huduma kuanza rasmi mwenzi ujao. Kama utatuma maombi leo basi utapata ofa kwa mwezi mmoja bure wa kutumia intaneti.
Kwa wateja watakao lipia huduma baada ya mradi kuanza rasmi mwenzi Machi hawatapata ofa hiyo ya mwezi mmoja bure.
❤️
👍
2