
Smartsolutions Tanzania
14 subscribers
About Smartsolutions Tanzania
Elimu ya Vifaa vya Usalama,Ulinzi,kwa kutumia Teknologia za kisasa Computers na Bidhaa za Solar kwa Majumbani na Ofsini
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Elimika leo Chukua Hatua! Intruder Alarm systems nini? Kwa Lugha rahisi "Ni mfumo wa kiusalama unaofungwa nyumbani au ofsini utakao kusaidia kukupata taarifa/kukushtua kwa njia ya *SMS au KINGORA* endapo kuna mtu kapita eneo lindwa au kafungua mlango/dirisha Kwa muda usiotakiwa" Mfumo huu mtu yeyote anaweza kufunga nyumbani,ofsini, dukani, Godown/store kwake. Kabla ya kuweka mfumo pata ushauri wa kitaalamu. Karibu sana. #elimikanasmartsolutionstz #elimuyausalama #elimikaleo

Hakikisha Eneo lako linaweza kukulinda dhid ya wezi/vibaka. Maana yake nini jitahid sana kuwe ma vifaa vinavyoweza kufukuza wezi kabla ya wewe hujaanza kufukuza nabukifanikiwa hapa ndio unakuwa unahaakika na Usalama zaidi

From our magazine ebu tuangalie namna unavyoweza linda data zako! 👇 https://online.fliphtml5.com/finfgz/xkgq/#p=5