Smartsolutions Tanzania
Smartsolutions Tanzania
February 2, 2025 at 07:21 AM
Elimika leo Chukua Hatua! Intruder Alarm systems nini? Kwa Lugha rahisi "Ni mfumo wa kiusalama unaofungwa nyumbani au ofsini utakao kusaidia kukupata taarifa/kukushtua kwa njia ya *SMS au KINGORA* endapo kuna mtu kapita eneo lindwa au kafungua mlango/dirisha Kwa muda usiotakiwa" Mfumo huu mtu yeyote anaweza kufunga nyumbani,ofsini, dukani, Godown/store kwake. Kabla ya kuweka mfumo pata ushauri wa kitaalamu. Karibu sana. #elimikanasmartsolutionstz #elimuyausalama #elimikaleo

Comments