
DR.SEVERINE ELISHA ENOS
6 subscribers
About DR.SEVERINE ELISHA ENOS
HABARI🤚🤚 KARIBU na HONGERA kwakujiunga katika channel hii ambapo utakwenda kujifunza Tips mbalimbali juu ya Afya ya binadamu nausafi wamwili kwaujumla, Asante 👏👏👏
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

DR.SEVERINE ELISHA ENOS
2/13/2025, 6:22:26 AM
🐫 UVIMBE NDANI YA KIZAZI ( *FIBROIDS* ) 🦠FIBROIDS NI VI. BE ZINAZOTOKEA NDANI AU NJRE YA KIZAZI 🦠HUSABABISHA NA MABADILIKO YA HORMONES, PID, UNENE. 🦠HUSABABISHA HEDHI NZITO NA MAUMIVU YA NYONGA 🦠HUSABABISHA MAUMIVU YA MIGUU 🦠UZITO WA MWILI HUONGEZEKA 🦠NI KAWAIDA KWA WANAWAKE WENYE MIAKA KUANZIA 30+

Image