DR.SEVERINE ELISHA ENOS
DR.SEVERINE ELISHA ENOS
February 13, 2025 at 06:22 AM
🐫 UVIMBE NDANI YA KIZAZI ( *FIBROIDS* ) 🦠FIBROIDS NI VI. BE ZINAZOTOKEA NDANI AU NJRE YA KIZAZI 🦠HUSABABISHA NA MABADILIKO YA HORMONES, PID, UNENE. 🦠HUSABABISHA HEDHI NZITO NA MAUMIVU YA NYONGA 🦠HUSABABISHA MAUMIVU YA MIGUU 🦠UZITO WA MWILI HUONGEZEKA 🦠NI KAWAIDA KWA WANAWAKE WENYE MIAKA KUANZIA 30+
Image from DR.SEVERINE ELISHA ENOS: 🐫 UVIMBE NDANI YA KIZAZI ( *FIBROIDS* )  🦠FIBROIDS NI VI. BE ZINAZOT...

Comments