
Vodacom Tanzania PLC
1.3K subscribers
About Vodacom Tanzania PLC
Vodacom Tanzania Official WhatsApp Channel.
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Sasa ukinunua hiki unapata ofa, unazifahamu? #SupaTuesday

Daah hiki ndiyo kinaitwa kivumishi gani hapa alichotumia Jamhuri. Endelea kufurahia huduma za mtandao supa 😂😂


Unaikumbuka ile simu tulisema unaipata kwa pesa ndogo kuwahi kutokea? Yes Smart Kitochi Plus. Kwanini uwe na Kitochi kisichokuwa na WhatsApp!! 🤪🤪. #SupaTuesday


Weekend imeanza na sisi tunakupa urahisi zadi wa kujihudumia mwenyewe kupitia *149*01# au kwa M-Pesa Super App. Bofya https://digital.vodacom.co.tz/watch/67b5cf2965acf1211d2a0d2b kujua huduma unazoweza kupata msaada bila kuwasiliana na huduma kwa wateja. #NiRahisiTu #PamojaTunaweza


Ijumaa nyingine tena ya kuhakikisha unamsuprise na muamala wa nguvu!!!🔥 Tuma pesa kwenda kwa mteja wa vodacom leo hii bila makato yoyote kupitia M-Pesa super app. Pakua M-Pesa App kupitia Google play store au App Store. #pesanimpesa


Need a cloud solution that adapts to your business? Vodacom Cloud offers high uptime, security, and flexible pricing. Scale with confidence! Sign up and get started today >> www.vcmanager.vodacom.co.tz #CountOnUs #BusinessTogether


VYBers mpoo? Kuna ofa yenu ya Valentines inakuja. 📱 💘

Msimu huu wa Valentines mwagaaa mapenzi bila kikomo na peleka upendo kwa kasi ya 5G.❤️📲💌


*Oyaaa VYBers, Ni wiki ya kujipatia simu janja kwa punguzo la bei.* Ofa hi inapatikana kwenye maduka yetu yote makubwa kuanzia tarehe 13 - 23 Februari 2025 Usikae kinyonge, jiunge na ulimwengu wa VYB piga *149*01# chagua VYB > Chagua 5 Deals


Ukikosa kufanya chochote katika haya utakuwa umefeli mnooo 😂😂.
