
Vodacom Tanzania PLC
February 13, 2025 at 01:41 PM
*Oyaaa VYBers, Ni wiki ya kujipatia simu janja kwa punguzo la bei.*
Ofa hi inapatikana kwenye maduka yetu yote makubwa
kuanzia tarehe 13 - 23 Februari 2025
Usikae kinyonge, jiunge na ulimwengu wa VYB piga *149*01#
chagua VYB > Chagua 5 Deals

❤️
👍
2