𝖧𝗂𝗌𝗍𝗈𝗋𝗂𝖼𝖺𝗅 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋 WhatsApp Channel

𝖧𝗂𝗌𝗍𝗈𝗋𝗂𝖼𝖺𝗅 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋

131 subscribers

About 𝖧𝗂𝗌𝗍𝗈𝗋𝗂𝖼𝖺𝗅 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋

“When one plays the pipes in Zanzibar, they dance on the Lakes.” _______________ Ngoma iliyopigwa Zanzibar, Wamaziwani waliicheza.. Huu ni msemo maarufu uliotumiwa na wanahistoria mbalimbali wa Afrika Mashariki katika kuzungumzia iliyokuwa Himaya ya Kibiashara ya Zanzibar. Mnamo karne ya 19 Zanzibar iliibuka kuwa kitovu cha biashara hapa Afrika ya mashariki ambapo bidhaa mashuhuri za wakati huo kama vile dhahabu, pembe za ndovu na viungwa vilisafirishwa kupitia Zanzibar, huku himaya hiyo ikitapakaa kote hadi Pwani ya El-Delgado. Jiunge nasi kupata mukhtasari wa historia adimu kuhusu Zanzibar kupitia machapisho ya picha, video na maandishi kila wiki. Tufuatilie pia facebook, X, tiktok, instagram: *Historical Zanzibar* YOUTUBE: HISTORIZAN TV

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

𝖧𝗂𝗌𝗍𝗈𝗋𝗂𝖼𝖺𝗅 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋
𝖧𝗂𝗌𝗍𝗈𝗋𝗂𝖼𝖺𝗅 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋
2/1/2025, 3:44:39 PM

https://youtu.be/ZIhLVvj-VP8?si=R4KO8V9A_fWf4xXI

❤️ 2
𝖧𝗂𝗌𝗍𝗈𝗋𝗂𝖼𝖺𝗅 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋
𝖧𝗂𝗌𝗍𝗈𝗋𝗂𝖼𝖺𝗅 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋
2/4/2025, 8:54:24 PM

*BREAKING:* Mzanzibari, nguli wa uchambuzi wa siasa za kikanda na za kimataifa, mwandishi wa zamani wa BBC lakini pia amekuwa mwandishi wa Gazeti la Africa Events. Mzee wetu Ahmed Rajab ameaga dunia leo hii huko London, Uingereza. Mola ampumzishe mahala pema peponi. Kwa taarifa zaidi tufuatilie kwenye mtandao wetu wa facebook: https://www.facebook.com/100078007380134/posts/624945413449033/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v

Post image
😢 2
Image
𝖧𝗂𝗌𝗍𝗈𝗋𝗂𝖼𝖺𝗅 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋
𝖧𝗂𝗌𝗍𝗈𝗋𝗂𝖼𝖺𝗅 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋
2/5/2025, 6:19:50 AM

Ahmed Rajab, Mzanzibari aliyewahi kuwa mwandishi wa BBC afariki dunia https://historiczanzibar.wordpress.com/2025/02/05/ahmed-rajab-mzanzibari-aliyewahi-kuwa-mwandishi-wa-bbc-afariki-dunia/

❤️ 1
𝖧𝗂𝗌𝗍𝗈𝗋𝗂𝖼𝖺𝗅 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋
𝖧𝗂𝗌𝗍𝗈𝗋𝗂𝖼𝖺𝗅 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋
2/14/2025, 2:05:33 AM

*** Asili **

Post image
❤️ 2
Image
𝖧𝗂𝗌𝗍𝗈𝗋𝗂𝖼𝖺𝗅 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋
𝖧𝗂𝗌𝗍𝗈𝗋𝗂𝖼𝖺𝗅 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋
2/14/2025, 10:52:53 AM

Mwaka 1937─Mfalme wa tisa wa Zanzibar, Sultan Khalifa bin Harub akiwa ziarani nchini Uingereza.

Post image
❤️ 😮 4
Image
𝖧𝗂𝗌𝗍𝗈𝗋𝗂𝖼𝖺𝗅 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋
𝖧𝗂𝗌𝗍𝗈𝗋𝗂𝖼𝖺𝗅 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋
2/19/2025, 11:18:46 PM

*Zanzibar, 1936.*

Post image
❤️ 4
Image
𝖧𝗂𝗌𝗍𝗈𝗋𝗂𝖼𝖺𝗅 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋
𝖧𝗂𝗌𝗍𝗈𝗋𝗂𝖼𝖺𝗅 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋
2/28/2025, 7:32:40 PM

ASILI

Post image
❤️ 3
Image
𝖧𝗂𝗌𝗍𝗈𝗋𝗂𝖼𝖺𝗅 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋
𝖧𝗂𝗌𝗍𝗈𝗋𝗂𝖼𝖺𝗅 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋
1/31/2025, 10:57:28 AM

*JUM'AA KAREEM FROM ZANZIBAR!🌼*

❤️ 1
Image
Link copied to clipboard!