π–§π—‚π—Œπ—π—ˆπ—‹π—‚π–Όπ–Ίπ—… 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋
π–§π—‚π—Œπ—π—ˆπ—‹π—‚π–Όπ–Ίπ—… 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋
February 4, 2025 at 08:54 PM
*BREAKING:* Mzanzibari, nguli wa uchambuzi wa siasa za kikanda na za kimataifa, mwandishi wa zamani wa BBC lakini pia amekuwa mwandishi wa Gazeti la Africa Events. Mzee wetu Ahmed Rajab ameaga dunia leo hii huko London, Uingereza. Mola ampumzishe mahala pema peponi. Kwa taarifa zaidi tufuatilie kwenye mtandao wetu wa facebook: https://www.facebook.com/100078007380134/posts/624945413449033/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
Image from π–§π—‚π—Œπ—π—ˆπ—‹π—‚π–Όπ–Ίπ—… 𝖹𝖺𝗇𝗓𝗂𝖻𝖺𝗋: *BREAKING:* Mzanzibari, nguli wa uchambuzi wa siasa za kikanda na  za ...
😒 2

Comments