
KILIMO NA UFUGAJI 🩺
65 subscribers
About KILIMO NA UFUGAJI 🩺
1.Elimu kwa wakulima na wafugaji njisi yakupata faida. 2.ushauri 3.Usimamizi wa matibabu 4. Biashara ya mifugo na kilimo 5.kupeana mawazo.
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Habari za asubuhi wataalamu natumaini mmeamka salama,ndugu zangu wanahitajika vijana wawili kufanya kazi kwenye kampuni ambalo liko dar linajihusisha na kusambaza vifaranga na kuzalisha pia,sifa awe na certificate ama diploma wahi nafas zimebaki chache tuwasiliane kwa 0715893873 ahsanteni

Natafuta daktar wa mifugo wa kukaa shamba la mbuzi lipo vigwaza mivumoni dar es salam 0719535516 Salary 300000 per month

Mkuu kwema natafuta mtu aliyesoma agrovet hasa mzoefu kuhusu uzalishaji chakula cha mifugo especially kuku will be best Mawasiliano: 0658183618

Tangazo la kazi ladies . Anahitaji binti wakuuza agrovet location namtumbo songea Mawasiliano.0613228747 Location:Namtumbo Salary :150000