KILIMO NA UFUGAJI  🩺
KILIMO NA UFUGAJI 🩺
May 24, 2025 at 12:36 PM
Habari za asubuhi wataalamu natumaini mmeamka salama,ndugu zangu wanahitajika vijana wawili kufanya kazi kwenye kampuni ambalo liko dar linajihusisha na kusambaza vifaranga na kuzalisha pia,sifa awe na certificate ama diploma wahi nafas zimebaki chache tuwasiliane kwa 0715893873 ahsanteni

Comments