
Kalage Perfumes
89 subscribers
About Kalage Perfumes
Your scent, Your identity.
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Perfume sio kwajili yako tu, lakini pia kwajili ya kumbukumbu nzuri kwa kila mmoja unaekutana nae. Ni moja ya alama nzuri unayoweza kuiacha kwenye kumbukumbu za mtu.


Unajua kwanini wanawake wengi wanapenda Perfume za kiume.? Base note(harufu ya mwisho) ya Perfume yeyote ya kiume mara nyingi hua haina ukali lakini zinavutia sana. Jaribu Perfume Pour home halafu utanipa matokeo.


Una mpango gani na huyo umpendae valentine hii.? Kalage Perfumes Tunatamani kusikia mpango wakoπ Tupigie 0678213259


Wapendanao mpo wapi.? Ukimya wenu unatutisha. Karibu Kalage Perfumes upate package ya Valentine. βοΈ 0678213259


Harufu nzuri ni alama isiyosahaulika. π² 0678213259


Mzigo mpya, mpya kabisa! Wahi usichelewe. βοΈ 0678213259


Ukikutana na mtu kwa mara ya kwanza anaweza akasahau jina lako ila hata sahau harufu yako. Jitahidi unukie vizuri.
