
Kalage Perfumes
February 8, 2025 at 05:17 PM
Unajua kwanini wanawake wengi wanapenda Perfume za kiume.?
Base note(harufu ya mwisho) ya Perfume yeyote ya kiume mara nyingi hua haina ukali lakini zinavutia sana.
Jaribu Perfume Pour home halafu utanipa matokeo.

❤️
👊
👍
4