Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) WhatsApp Channel

Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)

31 subscribers

About Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)

TAASISI ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)ni zao la kilichokuwa Chuo cha Sanaa Bagamoyo. Historia ya ya chuo cha Sanaa Bagamoyo ilianzia mnamo mwaka 1962 ambapo kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanganyika iliundwa wizara ya vijana na utamaduni. Mnamo mwaka 1972 ilionekana kuwa kuna uhitaji wa kuwa na mafunzo rasmi ya mambo ya Sanaa, hii ilipelekea kuanzishwa kwa chuo cha sanaa Bagamoyo(BCA). Kati ya mwaka 2003-2005 Chuo cha Sanaa Bagamoyo kilisajiliwa na Baraza la taifa la elimu ya ufundi (NACTE), na kuanzia hapo mitaala ya kufundishia iliandaliwa kikamilifu na kupata ithibati ya NACTE. Mwishoni mwa mwaka 2005 uamuzi ulifanywa na iliyokuwa Wizara ya Elimu na Utamaduni kwamba, Chuo cha Sanaa Bagamoyo kibadilishwe kuwa wakala wa Serikali chini ya mpango wa mabadiliko ya sekta ya umma,kwa hiyo Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo ilianzishwa mnamo tarehe 2 Novemba 2007, kwa tangazo namba 220 lililochapishwa kwenye gazeti la Serikali kwa mujibu wa sheria ya Wakala wa Serikali namba 30 ya mwaka 1997. Taasisi ya sanaa na utamaduni Bagamoyo ni kituo chenye ubora uliotukuka Afrika Mashariki katika kutoa mafunzo ya Sanaa za maonyesho na ufundi ambapo majukumu yake makubwa ni kuhudumia mahitaji ya nchi washirika wa jumuiya ya Afrika Mashariki katika kutunza, kuhamasisha na kuendeleza Sanaa za maonyesho na ufundi. MAJUKUMU YA TASUBA Kutoa mafunzo Kufanya utafiti katika masuala yanayohusu Sanaa na Utamaduni Kutoa ushauri katika masuala yanayohusu Sanaa na Utamaduni.

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
2/10/2025, 9:16:29 AM

*Usikose Makala ya 4 ya TaSUBa...Kesho Jumanne Tarehe 11 Februari, 2025....saa 3:50 usiku...ITV 💥💥*

Video
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
2/10/2025, 9:30:42 AM

*Usikose Makala ya 4 ya TaSUBa...Kesho Jumanne Tarehe 11 Februari, 2025....saa 3:50 usiku...ITV 💥💥*

Video
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
2/2/2025, 10:59:37 AM

#bmt #tasuba #bonanza

Image
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
2/7/2025, 10:03:02 AM

Baraza la Wafanyakazi la Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) limekutana na kufanya kikao kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali yatakayosaidia kuboresha huduma na utendaji kazi wa Taasisi hiyo. Kikao hicho kimefanyika Februari 06, 2025 chini ya Mwenyekiti wake Dkt. Herbert Makoye ambaye ni Mkuu wa Taasisi hiyo. Dkt. Makoye amewataka watumishi kuendelea kuchapa kazi kwa weledi na kwa ushirikiano ili kuendana na dhana ya 'TaSUBa Kituo chenye Ubora Uliotukuka Afrika Mashariki.'

Post image
Image
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
2/2/2025, 10:59:48 AM
Image
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
2/2/2025, 10:58:54 AM

#bmt #tasuba #bonanza

Image
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
2/2/2025, 10:58:12 AM
Image
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
2/2/2025, 10:58:03 AM

#bmt #tasuba #bonanza

Image
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
2/2/2025, 10:58:21 AM
Image
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)
2/2/2025, 11:00:16 AM

#bmt #tasuba #bonanza

Image
Link copied to clipboard!